Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Monday, July 22, 2013

RATIBA LIGI KUU YA VODACOM: YANGA kuanza na wa mjini ASHANTI UNITED taifa, SIMBA na RHINO tabora AZAM na MTIBWA SUGAR


RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM IMETOKA

  Huku mabingwa wa ligi hiyo Dar young Africans wakiwakaribisha watoto wa Mjini ASHANTI UNITED waliopanda tena daraja msimu huu katika uwanja wa Taifa Dar es salaam, wanajeshi wa Tabora, Maafande wa RHINO RANGERS watawakaribisha SIMBA SPORTS CLUB katika dimba la Ally Hassan Mwinyi Mjini humo!

 Wauza Ice Cream wa AZAM FC, Ambao ni timu Tajiri kwa sasa katika Ukanda wa afrika mashariki, wao watasafiri Zaidi ya kilometa 361 Kuwafuata Watengeneza Sukari wa MTIBWA SUGAR hukoTURIANI, mvomero MoROGORO

  JKT OLJORO watakuwa wenyeji wa COASTAL UNION, MGAMBO JKT watakuwa MKWAKWANI stadium kuwakaribisha JKT RUVU huku wageni wengine wa ligi hiyo MBEYA CITY,  Watakuwa wenyeji wa Wana Tam tam  KAGERA SUGAR kutoka BUKOBA Katika dimba la sokoine, huku RUVU shooting wakiuana na Wajela jela wa TANZANIA PRISONS pia kutoka kiwila MBEYA





                                    
                                     NANI ATAKUWA BINGWA MPYA WA VPL??



No comments:

Post a Comment