Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Sunday, July 21, 2013

FLETCHER KUOKSA MWANZO WA MSIMU


Daren Fletcher yupo tayari kujiunga na Man UNITED kwa Mara nyingine likini itamlazimu kupisha mwanzoni mwa msimu mpya wa ligi kuu ENGLAND, madaktari wamesema!
Kiungo huyo amefanyiwa operesheni ya tumbo ambayo imekwenda vizuri, shukrani kwa Jopo la madaktari bingwa waliofanikisha hilo,lakini kwa ushauri wa daktari itabidi asubiri mpaka katikakti ya  msimu kupima uwezo wake baada ya matibabu, Tayari kuna upinzani wa namba kati yake ya mtu anayeonekana kuvaa vyema viatu vyake, MICHAEL CARRICK
Lakini itakuwaje FLETCHER akirudi, tena chini ya utawala mpya wa DAVID MOYES? tusubiri tuone

No comments:

Post a Comment