MANCHESTER UNITED imeingia ubia na Kampuni ya Vinywaji baridi ya PEPSI (PEPSICO)
katika mkataba huo wa Biashara Man united itakuwa kinywaji rasmi cha Pepsi Katika vituo vya Mauzo (POS) katika nchi za Thailand, Malaysia, Singapore, Myanmar, Cambodia, Laos and Brunei ambapo Kutakuwa na alama au picha ya Man united katika vinywaji hivyo
Katika mkataba huo pia Kampuni ya Pesi Itakuwa na haki zote za kutumia jina la Man United katika biashara zao huko ASIA PACIFIC.Kwa muda mrefu Man United imekuwa jina kubwa miongoni mwa Taasisi za michezo duniani na ina mashabiki wapatao 38 milioni katika nchi hizo saba mpaka sasa jambo litakalofanya vinywaji hivyo kuongeza mauzo pia katika nchi hizo.
Man united katika kipindi cha miaka 135 imekuwa Taasisi Kubwa zaidi inayofahamika dunia huku klabu hiyo ikitwaa jumla ya vikombe 61 mpaka sasa na ina idadi ya Jumla ya Mashabiki wapatao 659 MILIONI
"Manchester United and Pepsi are two iconic brands and the Club is
delighted"
Manchester United Group Managing Director
Richard Arnold
No comments:
Post a Comment