Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Thursday, August 29, 2013

ETO'O AJIUNGA NA CHELSEA




SAMUEL ETO'O sasa ni mali ya chelsea

 mshambuliaji huyo hatari wa muda wote katika historia ya FC Barcelona amesaini mkataba wa mwaka mmoja na matajiri hao wa London
Mcameroon huyo mwenye miaka 32 amejiunga na Chelsea akitokea Anzhi Makachkala ya Urusi , klabu iliyoamua kuuza nyota wake ili kupunguza matumizi ya Klabu hiyo ya Ulaya Mashariki

" Hayakuwa maamuzi magumu kuja hapa, Nimeona ubora wa chelsea na Namfahamu Vizuri JOSE MOURINHO, kwahiyo ilipokuja bahati hiyo nisingeweza kuikataa" .....alisema ETO'O

Ujio wa mshambuliaji huyo ambaye ada yake ya uhamisho bado haijawekwa wazi unaifanya Chelsea kumaliza mbio za za Kutaka kumsajili Wayne Rooney wa Man United Ambaye pia klabu yake ina mpango wa kumuongezea mkataba
Kabla ya kutua ANZHI, eto'o alipitia INTER MILAN, BARCELONA, REAL MARLOCA na MARDID huku akiacha rekodi za kuvutia kwenye klabu hizo










No comments:

Post a Comment