Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Wednesday, July 24, 2013

SUAREZ aomba aruhusiwe kujiunga na Arsenal

LUIS SUAREZ ameomba uongozi wa Liverpool Kumruhusu aongee na Arsenal  ili kuangalia uwezekano wa kujiunga na Miamba hiyo ya 
 LONDON
SUAREZ anaamini kuwa ofa ya pauni 40 milioni iliyokataliwa na LIVERPOOL inaweza kuwa ni risasi ndani ya Bunduki ambayo inatakiwa kutumika muda wowote!
wakati liverpool wakikana dili hilo la Arsenal, SUAREZ  mwenye miaka 26 anasema ataomba kwa BRENDAN RODGERS ili kuangalia upya suala hilo



 REKODI ZA MABAO YA SUAREZ
  • magoli 30 katika mechi 44 za Liverpool msimu uliopita
  •   Tangu ajiunge akitokea Ajax  Januari 2011 kwa pauni 22.7m, amefunga magoli 51 katika mechi 96
  • Magoli 49 katika mechi 48 akiwa na Ajax msimu mmoja kabla ya kujiunga na Liverpool
  • magoli 31katika mechi 62 kwa timu ya Taifa ya Uruguay 


No comments:

Post a Comment