Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Tuesday, July 23, 2013

MAN U yapigwa 3 JAPAN


YOKOHAMA F. MARINOs  Imeharibu ujio wa SHINJI KAGAWA aliyerejea kutoka mapumzikoni baada ya kuiadabisha Man United 3-2 Katika michuano ya Kagome Re:Generation Challenge
Katika mchezo huo uliopigwa NISSAN STADIUM

Mabao Ya YOKOHAMA yalifungwa na Marquinhos 1, Fabio 49, Fujita 87 wakati yale ya UNITED yalifungwa dakika NYOTA CHIPUKIZI aliye katika kiwango cha juu kwa sasa Jesse LINGARD (dkk:19)na TASHIRO (dkk 31) aliyejifunga


Hilo ni Goli la 3 kwa chipukizi LINGARD katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya baada ya hivi karibuni kufunga goli 2 katika ushindi wa 5-1

No comments:

Post a Comment