Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Saturday, July 20, 2013

KAMBI MPYA YA TIMU YA COAST UNION


COAST UNION ya mjini Tanga ni moja kati ya timu chache Tanzania zenye malengo ya muda mrefu katika uwekezaji wa soka

 Pamoja na Yote COAST UNION ni timu pekee ambayo imeweza kuuza jezi zake Original zinazovaliwa na mashabiki wa timu kwa gharama nafuu...jezi anayovaa NSA JOB ndiyo hiyo anavaa shabiki wa timu
Na sasa timu hiyo imeandaa kambi yake mpya kwa ajili ya msimu ujao, PICHANI ni KAMBI RASMI ya COAST UNION iliyopo RAS KAZONE katika Jiji la TANGA

picha kwa hisani ya EDO KUMWEMBE / Msemaji wa timu

No comments:

Post a Comment