Featured Post

This city is known as Dar es salaam, a business center of Tanzania, Located in East Africa

This city is known as Dar es salaam       This city is known as Dar es salaam, the business city of Tanzania, Located in East Afri...

Wednesday, July 24, 2013

EVERTON YAZINDUA UZI MPYA


EVERTON imezindua uzi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa ligi
Hata hivyo jezi hizo zitakazovaliwa na timu hiyo "KIBOKO YA VIGOGO"  hazina tofauti sana na zile za msimu uliopita ambazo pia zilikuwa na alama nyeupe mikononi ambayo iligawanywa kwa kuchanganya na Blue kidogo yaani nusu bluu na nusu Nyeupe.....
Jezi za sasa za Everton zina rangi nyeupe mikononi pamoja Kola ya vifungo kwa mbele

Pichani ni mashabiki wa EVERTON wakisherehekea uzinduzi wa Jezi hiyo mpya

No comments:

Post a Comment