call or mail us

Sunday, March 23, 2014

WANASOKA WENYE KASI ZAIDI DUNIANI

KUNA WACHEZAJI WENGI DUNIANI WENYE KASI ZAIDI DUNIANI

ToWNSEND wa SPURS, CHICHARITO wa MAN uTD, Rahim Steiring wa Liverpool Na wengine wengi.....

lakini kati ya hawa  Hakuna hata mmoja wao katika orodha ya Kumi Bora

Ifuatayo ndio ORODHA YA WACHEZAJI WENYE KASI ZAIDI DUNIANI kwa MUJIBU WA FIFA

 

10. Alexis Sanchez (Barcelona) – 30,1 km/Kwa saa


 

 

9. Arjen Robben (Bayern Munchen) – 30,7 km/Kwa saa

 

 

 

8. Franck Ribery (Bayern Munchen) – 30,7 km/Kwa saa

 


 7. Wayne Rooney (Manchester United) – 32,1 km/ kwa saa

 

6. Lionel Messi (Barcelona) – 32,5 km/kwa saa

 

5. Cristiano Ronaldo (Real Madrid) – 33,6 km/kwa saa


 

 

 

 

4. Aaron Lennon (Tottenham) – 33,8 km kwa saa


 

3. Gareth Bale (Real Madrid) – 34,7 km kwa saa




 

2. Antonio Valencia (Manchester United) – 35,2 km kwa saa

 

 

1. Theo Walcott (Arsenal) – 35,7 km kwa saa









No comments:

Post a Comment