call or mail us

Sunday, March 23, 2014

MADRID YACHAPWA NYUMBANI DHIDI YA BARCELONA



             
BARCELONA:   Iniesta 7′ Messi 42′, 65′ (pen), 84′ (pen                                                                       

REAL MADRID: Benzema 20′, 24′ Ronaldo 55′ (pen

                                                                                             

 Real Madrid          3-4     Barcelona

Bao la mapema la Andres Iniesta lilitosha kuwatanguliza mabingwa watetezi Barca dhidi ya Real Madrid kwa moja bila Kabla ya KARIM  BENZEMA kubadili Upepo kwa kutupia mabao mawili (2) na kufanya kazi izidi kuwa Ngumu
Lakini ndani ya dakika ya 42 LIONEL MESSI alisawazishia Barca na kufanya mpaka mapumziko ubao kusomeka 2-2
Walikuwa ni Real Madrid walioweza kupata bao dakika ya 55 kupitia kwa Christiano Ronaldo kwa njia ya Penalt, Iliyotokana na Kuangushwa kwa Cristiano Ronaldo
Kadi nyekundu ya Sergio Ramos aliyopewa baada ya kumchezea rafu  Neymar JR Ilitosha kuwapa ahueni Barca ambapo iliwalazimu Real Madrid Kumtoa Karim   Benzema  na RAPHAEL VARANE.....mabadiliko yaliyo shuhudia Barcelona wakipata magoli mawili Kupitia kwa LIONEL MESSI
Magoli hayo yalitokana Andres Iniesta kuchezewa Vibaya katika eneo la hatari la MADRID


CHINI HAPO NI MSIMAMO WA LA LIGA BAADA YA MECHI HIYO
Pos
Team
P
Pts
1
29
70
2
29
70
3
29
69
4
29
55
5
29
47
6
28
46
7
29
45
8
29
39
9
29
37
10
29
37
11
29
34
12
29
33
13
29
32
14
29
30
15
29
30
16
29
29
17
29
28
18
29
27
19
28
26
20
29
19

   

  
 

No comments:

Post a Comment