call or mail us

Friday, August 23, 2013

LEWANDOSKI AUA 1 BORUSIA IKIIUA WEDER BREMEN


Bao la dakika ya 55 la mshambuliaji hatari wa BORUSIA DORTMUND, Robert Lewandoski limetosha kuwalaza na viatu WEDER BREMEN ijumaa ya leo
katika pambano hilo la BUNDES LIGA, mshambuliaji huyo wa kipoland alimaliza pambano huku akiwafanya mashabiki wa WEDER BREMEN wqasimini kilichotokea katika dimba la Signal Iduna Park shukrani kwa kazi nzuri ya viungo Nuri sahin na Michael Reus Waliochangia kwa kiasi kikuba ushindi huo wa leo

hii ni ratiba ya mechi nyingine za Bundes Liga wikiendi hii

Bundesliga 




August 24
16:30 Bayer Leverkusen ? - ? Borussia Monchengladbach
16:30 Bayern Munich ? - ? Nurnberg
16:30 Hannover 96 ? - ? Schalke 04
16:30 Hoffenheim ? - ? Freiburg
16:30 Mainz 05 ? - ? Wolfsburg
19:30 Hertha Berlin ? - ? Hamburger SV
August 25
16:30 Braunschweig ? - ? Eintracht Frankfurt
18:30 Augsburg ? - ? VfB Stuttgart

No comments:

Post a Comment