call or mail us

Thursday, August 29, 2013

HII NDIO RATIBA KAMILI YA MAKUNDI UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2013/14

Ratiba ya Klabu bingwa Ulaya Imetoka

Man United imepangwa kundi la kwanza (A) sambamba na Real sociedad, Leverkusen
na Shaktar Donetsk.......
huku Kundi B likizihusisha REAL MADRID, JUVENTUS, GALATASARAY na FC COPENHAGEN kundi C linazihusisha timu za BENFICA, PSG, OLYMPIACOS na ANDERLECHT ya Ubelgiji

MAN CITY, BAYERN MUNCHEN, CSKA MOSCOW na PLZEN ya czech republic zimepangwa kungwa kundi D

wakati kundi F lenye timu za ARSENAL, MARSEILE, DORTMUND na NAPOLI zikionekana kuwa kundi gumu zaidi,  BARCELONA wanakutana Na AC MILAN,Celtic na AJAX katika kundi H

huku mabingwa wa UEFA EUROPA CUP klabu ya CHELSEA yenyewe imepangwa kundi E sambamba na Shalke, Fc Basel na STEAUA BUCAREST




No comments:

Post a Comment